Advertisements

Saturday, December 1, 2018

THC 3RD ANNUAL GALA ILIVYOFANA HOUSTON TEXAS.

Tamasha la kila mwaka la THC Thanksgiving GALA lilifanyika weekend iliyopita katika ukumbi wa Chateau Crystale ulioko katika makutano ya barabara za Westheimer na Gessner katika jiji la Houston jimboni Texas. Pata picha za GALA hiyo ya nguvu kama zilivyochukuliwa na mpiga picha nguli kutoka jiji la Dallas Eric Branco maarufu kama Brancovich Pictures.                                                                                    

Rais wa THC Bwana Lambert Tibaigana akiwa na Makamu wake Bwana Suleiman Kalinga


The THC Leadership
The THC Entertainment Committee


MC Mama Samiah

Mapozi mtindo mmoja.


Sherehe zilifana na mapozi ya kumwaga nguvu zako tu, afterall its 2018 hupigwi picha moja. Special Thanks to Tanzanian Community of Houston tuutane tena in 2019, Peace!!!!!No comments: