Jumuiya ya Baltimore ya ambayo ni moja ya kati ya Jumuiya za kanisa Katoliki ibada ya misa ya Kiswahili wakiwa katika picha na padri Honest Munishi siku ya Jumapili Jan 27, 2019 katika ukumbi wa sherehe wa kanisa hilo la Mt. Edward lililopo Baltimore, Maryland. Jumuiya hiyo ya Baltimore ndio walioratibu Ibada na hafla fupi ya sherehe hiyo ya kutakiana kheri ya mwaka mpya 2019.
Baadhi ya wa umini wa kanisa la Katoliki Ibada ya misa ya Kiswahili wakipata picha ya kumbukumbu na padri Honest Munishi.
Meza kuu
Wauminu wa Katoliki ibada ya misa ya Kiswahili wakiwa kwenye ukumbi wa sherehe kupata chakula cha pamoja mara tu baada ya ibada hiyo kumalizika.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment