Advertisements

Tuesday, February 5, 2019

BIRTHDAY YA DOROTHY KACHENGE NI ZAIDI YA HARUSI

Birthday ya Dorothy Kachenge iliyofanyika Jumamosi Feb 2, 2019 katika ukumbi wa Waterford Sprigfield, Virginia na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali kutoka kila pembe ya Marekani. Picha na Iska Jojo.
Dorothy Kachenge akiwa amependeza kwelikweli siku ya birthday yake iliyofanyika Feb 2, 2019 katika ukumbi wa Waterford, Springfield, Virginia.
Birthday girl akiwa ndani ya gauni jekundu akimeremeta .
Birthday Girl akiwa na mdhamini wa pendo lake.
Picha na baadhi ya wadau.

Kwa picha kibao BOFY HAPA

No comments: