Advertisements

Monday, February 18, 2019

BRIELLA'S BIRTHDAY PARTY LANHAM, MARYLAND

Mtoto Briella akiwa kwenye kiti cha enzi kwenye siku ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika PUMPITUP iliyopo Lanham, Maryland na kuhudhuriwa na watoto wenzake waliokuja kushereheka nae pamoja.
Keki ikiashiria miaka mitatu ikiletwa tayari kukatwa na kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto Briella.
Wazazi wa Briella Asanteeli na Lucy wakimsaidia mtoto wao kukatakeki.
 Watoto waliojumuika na mtoto Briella wakipata picha ya kumbukumbu ya pamoja na Briella.
 Watoto wakijumuika pamoja kwenye kupata machopochopo katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto Briella mara baada ya kucheza na kurukaruka katika michezo mbalimbali kwenye jumba hilo la sherehe la PUMPITRUP ya Lanham, Maryland.
 Watoto wakipata picha ya pamoja.
Wazazi wakijumuika na watoto wao.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: