Advertisements

Monday, February 18, 2019

Waziri Wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe katika kikao kazi kuhusu kukwama kwa makontena zaidi ya 900 katika Bandari ya Dar es Salam

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe akifafanua jambo mbele ya Wafanyabishara kutoka Congo DRC (Hawapo Pichani) katika kikao kazi kuhusu kukwama kwa makontena zaidi ya 900 katika Bandari ya Dar es Salaam, kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, ambapo Serikali imeanza kuruhusu makontena hayo kuanza kutolewa leo Februari 18, 2019, Kulia ni Kaimu Balozi wa Congo nchini Tanzania Yamba Yamba.
Baadhi ya Wafanyabiashara kutoka Congo DRC (waliokaa kushoto) wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe katika kikao kazi kuhusu kukwama kwa makontena zaidi ya 900 Bandari ya Dar es Salaam kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, ambapo Serikali imeanza kuruhusu makontena hayo kuanza kutolewa leo Februari 18, 2019.
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe Akisisitiza jambo mbele ya Wafanyabishara kutoka Congo DRC katika kikao kazi kuhusu kukwama kwa makontena zaidi ya 900 katika Bandari ya Dar es Salaam, kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, ambapo Serikali imenza kuruhusu makontena hayo kuanza kutolewa leo Februari 18, 2019.

(Picha Idara ya Habari MAELEZO)

No comments: