Advertisements

Tuesday, April 23, 2019

TASWIRA YA HARUSI YA EDDY MKUSA NA ANNE HUKO BOSTON

 Eddy Mkusa akishikana mikono na mke wake baada ya kufunga ndoa kama ishara ya upendo, harusi yao ilifanyika Quincy, Massachusetts . Vijimambo inawatakia kila lenye kheri katika maisha yako.


Watoto wa Mrs and Mr wakipata ukodak Elly, Kevan, na Amri


Ukodak wa kifamilia kuanzia Baba mama wakwe hadi bibi.

Brides Maryanne na Rose wakipata ukodak.
picha zaidi hapa chini.



















No comments: