Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Maniza Sultan Zaman, walipokutana kwa mazungumzo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni, jijini Dar es Salaam Aprili 11, 2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Maniza Sultan Zaman, ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni, jijini Dar es Salaam Aprili 11, 2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa picha ya watoto na
Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Maniza Sultan Zaman, baada ya mazungumzo
yao, ofisini Magogoni, jijini Dar es Salaam Aprili 11, 2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment