Advertisements

Monday, June 24, 2019

ATC METRO YATUNUKU TUZO NA VYETI KONGAMANO LA WANAWAKE


 Prof Msia Kibona akipokea tuzo kuoka  kwa Balozi wa Africa Union nchni Marekani Mhe, Dr, Arikana Chombori Quao kutokana na kusaidia vijana katika kujiungana masomo ya ngazi ya chuo katika Jumuiya yawaTanzania DMV. Kulia ni mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Swahiba Mndeme.
 picha ya pamoja.
 Dr Rahma Nyang;anyi  akipokea tuzo kuoka  kwa Balozi wa Africa Union nchni Marekani Mhe, Dr, Arikana Chombori Quao  kutokana na kutoa huduma za kitabibu bure siku ya uangaliza waafya bure unaoratibiwa naJumuiya ya waTanzania DMV,  Kulia ni mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Swahiba Mndeme.
 Picha ya pamoja.
 Dr, Kurwa Nyigu  akipokea tuzo kuoka  kwa Balozi wa Africa Union nchni Marekani Mhe, Dr, Arikana Chombori Quao kutokana na kutoa huduma za kitabibu bure siku ya uangaliza waafya bure unaoratibiwa naJumuiya ya waTanzania DMV.  Kulia ni mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Swahiba Mndeme.
 Picha ya pamoja.
 Dr. Anita Mwalui  akipokea tuzo kuoka  kwa Balozi wa Africa Union nchni Marekani Mhe, Dr, Arikana Chombori Quao kutokana na kusaidia kwake Jumuiya ya waTanzania katika kutoa nafasi za masomo bure kwa wanawake DMV.  Kulia ni mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Swahiba Mndeme.
 Picha ya pamoja.
 Makamu wa Rais DMV Bi. Joha Nyang'anyi  akipokea tuzo kuoka  kwa Balozi wa Africa Union nchni Marekani Mhe, Dr, Arikana Chombori Quao kwa niaba ya Dr. Talib Ali ambaye hujitolea katika kutuo huduma ya kitabibu ya meno siku ya uangalizi wa afya bure unaotolewa na Jumuiya ya waTanzania DMV 
Picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 Juu na chini ni vyeti vikitunukiwa kwa wajasilia mali waliokuwepo kwenyekongamano la wanawake.
 Watunukiwa Tuzo  wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi pamoja na Afifa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Makamu wa Rais Jumuiya ya waTanzania DMV.
 Viongozi na madaktari waliotunukiwa tuzo wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya na wageni waalikwaakiwemo mgeni rasmi.
 Viongozi wa Jumuiya wakiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
 Viongozi wa Jumuiya ya waTanzania na kamati ya jamii na uchumi kitengo cha wanawake na watoto wakiwa katika picha ya pamoja na mhe. Balozi wa Africa Union nchini Marekani Dr. Arikana Chihombori Quao.Aliyakaa kulia ni Mkuu wa Utawala na fedha Ubalozi wa Tanzania nchi Marekani Swahiba Mndemena aliyekaa kushoto ni makamu wa Rais Jumuiya ya waTanzania DMV Joha Nyang'anyi.
watoto wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi.
 Bolozi wa AfricaUnion nchini Marekani Mhe. Dr. Arikana Chohombori Quao akifanyiwa mahojiano namtangazaji wa Sauti ya Amerika (VOA) Bi. Mkamiti nyuma ya kamera hayupo pichani ni Radhia Adam.
Mgeni rasmi akiongea

No comments: