Advertisements

Monday, June 24, 2019

VIVAZI USIKU WA KONGAMANO LA WANAWAKE DMV

Makamu wa Rais Jumuiya ya waTanzania DMV Bi. Joha Nyang'anyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Balozi wa Africa Union Mhe. Dr,Aricana Chihombori Quao siku ya kongamano la
Kamati ya Jamii na Uchumi kitengo cha wanwake na watoto katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.
Kushoto niMkamiti, mtangazaji wa VOA na kulia ni mhazina wa Jumuiya ya waTanzania DMV Lysa Bantu
Sauti ya Amerika (VOA) kutoa kushoto Radhia Adam, Mkamiti wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi mara tu baada ya kumaliza kumfanyia mahojiano.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: