ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 17, 2019

KIWOHEDE, AGAPE WAUNGANA NA SERIKALI YA MKOA WA SHINYANGA KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

Na Marco Maduhu - Malunde1 blog Kahama. Mashirika yasiyo ya kiserikali KIWOHEDE na AGAPE ACP, ambayo yanatekeleza miradi ya kupinga matukio ya ukatili dhidi ya watoto wadogo pamoja na kutokomeza mimba na ndoa za utotoni mkoani Shinyanga, yameungana na Serikali ya mkoa wa Shinyanga kuadhimisha kilele cha siku ya mtoto wa Afrika

No comments: