ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 9, 2019

BIRTHDAY YA MUNAH YAACHA GUMZO MJINI

Meza kuu ilivyopambwa ikapambika siku yaIjumaa Julai 5, 2019 katika siku ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wetu Munah iliyofanyika makutano ya Annapolis, Maryland. Picha na Andrew
 Keki ya Birthdayilivyopendeza.
 Munah akiingiaukumbini akiwa amesindikizwa na kaka zake wadogoMuddy (kushoto) na Kunda
Muna akiingia ukumbini na kaka zake wadogo
Munah akiwa amependeza akikata keki
Munah akimlisha keki mama yake Edah.
Munah akimlisha keki baba
 Champagn zikifunguliwa
Munah akiwamiminia champagn wageni waalikwa
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Mama akitoayake ya moyoni.
Baba akitoa neno la shukurani.
Watoto wakipaza sauti kwa kuhesabu miaka yake.

Munah akipagawishwa na minoti kutoka kwa aunt yake Loveness.
Munah akipata ukodak moment na mama yake.
Familia ya Saulanga ikipata picha na Munah.
Wakati wa chakula


 
 

No comments: