
Kamishna Mhifadhi wa Misitu Prof. Dos Santos Silayo akikagua baadhi ya maofisa wa Jeshi Usu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania mara baada ya kuwasili makao makuu ya Ofisi za Wakala wa Huduma za Mis
itu Tanzania

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Tehama, Harold Chipanha akimuongozo Kamishna Mhifadhi wa Misitu Prof. Dos Santos Silayo kwenda kwenye ukumbi wa mikutano wa Ngorongoro uliopo makuu ya Ofisi za Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kuzungumza na watumishi.
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Tehama, Harold Chipanha akimpigia saluti Kamishna Mhifadhi wa Misitu Prof. Dos Santos Silayo mara baada ya kuwasili makao makuu ya Ofisi za Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania jijini Dar es Salaam kwa mara ya kwanza tangu kuvishwa cheo hiko cha kijeshi Julai 9,2019 wilayani Chato mkoani Geita.
picha ya pamoja na na maofisa waJeshi Usu
Maafisa wa Jeshi Usu wa TFS wakifurahia jambo wakati Kamishna Mhifadhi wa Misitu Prof. Dos Santos Silayo alipokuwa akizungumza nao kw amara ya kwanza tangu aanze kutekeleza majukumu yake akiwa si raia tena.




No comments:
Post a Comment