Tumsifu Yesu Kristu.
Tunapenda kuwatangazia ya kuwa,
Tutakuwa na misa yetu ya kiswahili Jumapili, tarehe 14 Mwezi Julai 2019, kuanzia saa nane mchana. ( Sunday, 14 July 2019 at 2 pm).
Tunawakaribisheni wote wanaopenda kuhudhuria ibada yetu ya Kiswahili.
Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 120 East 106 Street, New York, NY 10029. Between Lexington and Park Avenue.
Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.
Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi.
Karibuni sana.
No comments:
Post a Comment