ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 7, 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA KILELE CHA SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA; HUSU SIMBA IKIINYUKA POWER DINAMO YA ZAMBIA MABAO 3-1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mashabiki na wapenzi wa timu ya Soka ya Simba wakati alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika Simba Day, Agosti 6, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Simba Day kwenye uwanja Taifa jijini Dar es salaam, Agosti 6, 2019. Wa tatu kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Kulia ni Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji na kushoto ni Rais wa TFF, Wallece Karia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: