Kushoto ni Afisa Erick Magere na Afisa Dismus Assenga Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani wakimwakilisha Balozi Masilingi katika tamasha la Taste of Tanzania Expo.wakiwa katika picha ya pamoja na Eliza siku ya Jumamosi Spt 14, 2019 Bladensburg, Maryland. Tamasha hilo lililoandaliwa na Jumuiya ya waTanzania DMV ikishirikiana na kamati yake, kitengo cha wajasiriamali na kuweza kuwaleta katika tamasha wajasiriamali watau toka Tanzania huku wakijumuika pamoja na wajasiriamali waDMVna nje ya DMV walioonyesha bidhaa zao zilizotia fora. Vyakula vya makabila mbalimbali vilikuwepo na kunogesha tamasha. Picha na Vijimambo Blog.
Afisa Assenga akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa DMV.
Kabati likiwa limevyunjwa na dada Tuma akiwa amdamshi kweli kwelli siku ya Taste oof Tanzania Expo.
WaTanzania wakipeperusha bendara yao.
WadauwaDMV na marafiki zao wakifurahia Taste of Tanzania Expo.
Wadau wa DMV wakibadilishana mawazo.
Watoto wa DMV akishindana jinsi ya kucheza rhumba.
Harusi ya kuigiza iliyowavutia wengihuku wengi wakifikiria ni harusi ya kweli ikiwa sehemu ya Taste of Tanzania Expo.
Shangazi wa akitoa neno Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Juu na chini wajasirimali wakiongelea ujasiriamali wao.
Mr TZ akipagawisha kwenye Taste of Tanzania Expo.
ONYESHO LA MAVAZI NA ASYA IDAROUS KHAMSIN
Asya Idarous Khamsin akiwa na walimbwende wake.
Picha juu na chini mdhamini wa Tanzania Auto Repeir Sharif (kullia) akikabidhi msaada wa jezi na mpira kwa timu ya watoto ya mpira wa miguu DMV.
Bi harusi katika kuigiza harusi ya Kiswahili
Haikua harusi ya ukweli kama wengi walivyofikiria hii ilikua sehemu yaTaste of Tanzania kuonyesha harusi ya Kiswahili inavyofungwa.
Baba wa Bwana harusi akitoa husia.
Mama waBwana harusi akiongea machache
Baba wa bibi harusi akiwahusia maharusi.
Mama harusi akiwapongeza maharusi
Shangazi akitoa husia
Maharusi na wazazi wa pande zote mbili wakiapata picha ya pamoja.
Maharusi wakipata kombe.
No comments:
Post a Comment