Vijana wa kimasai wakicheza ngoma za kiutamaduni ikiwa ni ishara ya kumkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Hayupo katika picha) katika shughuli za kufunga sherehe za kimila leo Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Katikati Mwenye suti Nyeusi) akikaribishwa na vijana wa kimasai kwa wimbo maalum alipowasili kwa ajili ya kufunga serehe za kimila leo Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na Wazee wa Kimasai wakati wa kufunga sherehe za kimila za kabila hilo leo Jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Viongozi wa Ukoo wa Wamasai Bw. Isack Lekisongo akiongea jambo wakati wa ufungaji wa sherehe za kimila zilizofanywa na kabila hilo leo Jijini Arusha.

Baadhi ya Viongozi na Wazee wa Kimila wa kabila la Wamasai wakifuatilia shughuli mbalimbali zilizokuwa zikifanywa wakati wa kufunga sherehe za kimila za kabila hilo leo Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali na Wazee wa kimila wa kabila la Wamasai katika shughuli ya kufunga sherehe za kimila leo Jijini Arusha. (PICHA NA LORIETHA LAURENCE-WHUSM, ARUSHA)
No comments:
Post a Comment