
Rais Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) alizaliwa Oktoba 29, 1959 Wilayani Chato Katika Mkoa wa Geita.
Uongozi na wafanyakazi wote wa Global Group tunakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa Rais Magufuli, uishi miaka mingi zaidi hapa duniani, Mwenyezi Mungu akupe afya, ulinzi na hekima ili uiongoze vyema Tanzania na watu wake kwa umoja, mshikamano, amani na maendeleo thabiti kwa vizazi vya leo na vijavyo.
No comments:
Post a Comment