ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 26, 2019

IBADA YA MISA YA KISWAHILI KESHO JUMAPILI BALTIMORE, MARYLAND

Image result for PADRI MUNISHI
Tumsifu Yesu Kristo, tunapenda kuwatangazia misa ya kila mwezi ya wakatoliki wa DMV na wakatoliki wote wageni wa DMV. Mwezi huu wa Octoba , misa itaanza saa nane kamili mchana Octoba 27, 2019. Tunawaomba waumini wote tujitokeze na tufike kanisani saa nane kamili kwa ajili ya Ibaada ya siku hiyo. Asanteni sana.

Tukutane: St. Edward 901 Poplar Grove Street Baltimore, MD 21216.

Katibu,
Mungasi.

No comments: