Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas, akiwa katika moja ya mitumbwi eneo la Kihanga Mkoani Mtwara inayotumiwa na raia kuvusha watanzania wanaoelekea nchini Msumbiji katika shughuli za kujipatia kipato ila wengi wanaotumia usafiri huo ni wakulima
Kamishna Wa Operesheni Na Mafunzo Ya Jeshi La Polisi Cp Liberatus Sabas Akizungumza Na Madereva Bodaboda waliopo Mpakani mwa Tanzania na Msumbiji eneo la Mtipesa juu ya kukabilina na Wahalifu Watakaoingia au kutoka nchini msumbiji ila amewaasa Madereva hao kuwa na tabia ya kutoa Taarifa Katika Vituo Vya Polisi Vilivyo karibu yao hasa pale wanapoona Mtu na Kumtilia shaka.(PICHA NA JESHI LA POLISI)
No comments:
Post a Comment