ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 4, 2019

MKUU WA TAKWIMU ZA BEI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR

 Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Suleiman Simai Msaraka akitolea Ufafanuzi baadhi ya Maswala yalioulizwa katika Mkutano wa Waandishi kuhusu Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.1 kwa mwezi uliomaliziaSeptemba 2019 hadi kufikia Asilimia 2.2 kwa Mwezi wa Septemba 2019,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
Meneja Uchumi Benki Kuu ya Tanzania tawi la Zanzibar Moto Ng'winganele Lugobi akijibu maswali yalioulizwa na Waandishi katika Mkutano wa Waandishi kuhusu Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.1 kwa mwezi uliomaliziaSeptemba 2019 hadi kufikia Asilimia 2.2 kwa Mwezi wa Septemba 2019,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano kuhusu Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.1 kwa mwezi uliomaliziaSeptemba 2019 hadi kufikia Asilimia 2.2 kwa Mwezi wa Septemba 2019,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
 Mkuu wa Takwimu za Bei kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Abdul-Rahman Msham(katikati)akitoa takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.1 kwa mwezi uliomaliziaSeptemba 2019 hadi kufikia Asilimia 2.2 kwa Mwezi wa Septemba 2019,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments: