ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 28, 2019

NG'ARING'ARI YA ALLEN SALAITA BAADA YA KUPATA JIKO SMILE KAMA LOTE!


Allen Salaita akiingia ukumbuni na mdhamini wa pendo lake tayari kwa maisha mapya ya mume na mke, Allen ni mfamyakazi wa Tigo Tanzania ametimiza moja ya agizo la kiroho na imani ya kuwa kila binadamu anatakiwa kuwa na mwenziwake kama mume na mke. Hongera saana Allen na mke wako Vijimamboblog inawatakia maisha yenye furaha na afya njema katika safari yenu.




No comments: