Pamoja We Can !!! Harambee USA inapenda kuwatangazi wakaazi wa Washington DC, Maryland, Virginia na states zote za karibu na DMV kuwa tutakuwa na mkutano kuonana na members and interested members wote wa PHU Family.
*RATIBA*
Saturday October 26
Time: *2pm To 4pm*
Sunday October 27
Time: *12pm To 4 pm*
*MAHALI*
*1700 April Ln, Silver Spring, MD 20904*
Call us @ *(832) 525 9857*
Email: divineoaks@gmail.com
*AGENDA*
🔹Meet and greet
🔹Q&A
🔹Registration
🔹Updates on upcoming events.
*YOUR DELEGATES*
🔹 *Virginia*
🔹 *Maryland*
🔹 *District of Columbia*
*OUT OF TOWN LEADERS*
🔹 Mr. Salim Akida - NJ Delegate
🔹 David Mrema - PHU President
🔹 Mr. Kinyasi Monyi- NY Delegate
Other leaders, Dada Jasmine Rubama, Dada Ailen Shirima, Mama Eliserena Kimolo.
Karibuni sana
*Pamoja We Can !!! Harambee USA October 16, 2019.*
*PAMOJAWECAN-DMV AREA VISIT 10/25/2019 TO 10/27/2019*
Let's talk pamojawecan.
Ndugu wana DMV, kama tulivyo wajulisha kuwa PHU tutakuwa hapo District of Columbia, Maryland na Virginia (DMV) kuonana na interested members & members.
Kwa habari na matukio yote jiunge hapa kwenye hii link
Hili ni group la muda mfupi kwaajili tuu ya kuwapa taarifa kwa haraka wakati wa hii safari ya DMV.
*Chukua muda uje usikie na ujifunze mwenye kutoka watanzania wenzako.*
*AGENDA*
🔹 Meet & Greet.
🔹Q&A
🔹Registration
🔹Updates on upcoming events.
*CONTACTS*
David
Jamylah
Zawaadi
*MAHALI*
*1700 April Ln, Silver Spring, MD 20904*
*MUDA NA SIKU*
Saturday: 10/26
Time: 2 PM to 4 PM
Sunday: 10/27
Time: 12 PM to 4 PM
*We will be on time*
Soft drink & vitafunwa will be served.
Thank you
David Mrema PHU-President

No comments:
Post a Comment