Advertisements

Tuesday, October 22, 2019

TANGAZO LA MSIBA

Mama Elizabeth Majogo enzi ya uhai wake

Ndugu waTanzania ni kwa huzuni na majonzi tunasikitika kuwatangazia msiba wa Mama Elizabeth Majogo (67)msiba umetokea jimbo la Illinois, marehemu ana mtoto US anaitwa Emmy.  Gharama za kupeleka mwili wa Mama nyumbani Tanzania ni $12,000.

Tunoamba tusaidiane kama waTanzania na hatimae kuwezesha kumsafirisha mpendwa wetu nyumbani na waTanzania tunapoamua hatushindwi na jambao, ni msiba mkubwa kwa familia tunaomba msaada wako wa hali na mali katika kufanikisha safari ya mwisho ya mpendwa wetu.

Marehemu ameacha mume Mr. Edgar Maokola Majogo, watoto Gemina, Diones, Emmy (ambaye ndiye pekee yupo US), Lavinia, Venance na . Wajukuu, Laura, Sandra, Shania, Khalid , Emiliza, Eddie, Geminaila, Jolene , Binah na Leia. 

Tutazidi kuwataarifu kila mipango inavyokwenda, kwa niaba ya familia tunaomba support yako kadri utakavyoweza kusaidia na hatimae kuwezesha kumsafirisha mpendwa wetu nyumbani Tanzania.

Mume wa marehemu Mr Majogo yupo hapa alikuja kumuuguza mkewe.

Tuliopo Chicago na vitongoji vyake ukipata muda tufike nyumbani kwa dada Emmy Anuani ni 10849 Kingston street , Westchester,Illinois kuwashika mkono na kuwafariji katika msiba huu wa mpendwa mama yao.

Kwa mchango wako tafadhali tuma kwa njia hizi hapa chini:

Zelle: Emmy Majogo-Farhi emmymajogo@yahoo.com
CashApp: 312 479 0858

gofundme BOFYA HAPA

Tunatanguliza shukurani

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

No comments: