Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Azerbaijan, Ali Ahmadov wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Heydar Aliyev, Oktoba 25, 2019 amabako atamwakilisha Rais, Dkt. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa Nchi zisizofungamana na upande wowote unaofanyika Baku nchini humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment