ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 9, 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU WILAYANI RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikimbiza Mwenge wa Uhuru wakati ulipopokelewa kijijini kwake Nandagala wilayani Ruangwa, Oktoba 9, 2019. Kushoto ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Mzee Ali Mkongea. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameubeba Mwenge wa Uhuru wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge huo wilayani Ruangwa yaliyofanyika katika uwanja wa Shule ya Misngi ya Nangumbu, Oktoba 9, 2019. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa na kushoto ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge, Mzee Ali Mkongea. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Mwenge kutoka kwa mmoja wa wakimbiaza Mwenge wa Uhuru,Nkwimba Madirisha Nyangogo wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu, Oktoba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Mwenge kutoka kwa mmoja wa wakimbiaza Mwenge wa Uhuru,Nkwimba Madirisha Nyangogo wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu, Oktoba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru wakati mwenge huo ulipopokelea wilayani Ruangwa katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu, Oktoba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati aliposhiriki. Katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu wilayani humo, Oktoba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Mzee Ali Mkongea wakati mwenge huo ulipopokelewa wilayani Ruangwa katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu, Oktoba 9, 2019. (Picha ya Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Mzee Ali Mkongea wakati alipozungumza katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu wilayani humo, Oktoba 9, 2019. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim, Mgandilwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wakimbiza Mwenge wa Uhuru wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge huo wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu wilayani humo, Oktoba 9, 2019. Wa tatu kushoto ni Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Mzee Ali Mkongea na wa nne kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: