Tarehe 20 /11/2019 Mtendaji Mkuu mpya wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Dr. Mussa Daniel Budeba mwenye suti nyeusi akisaini akipokelewa na baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya GST na kusaini kitabu cha wageni kisha kuongea mna wajumbe wa menejimenti ya GST kama picha zinavyoonesha.
Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 15 / 11/2019 , Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU alitoa taarifa kwa Umma juu ya uteuzi wa DR.MUSSA DANIEL BUDEBA kuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania.
No comments:
Post a Comment