Advertisements

Sunday, November 24, 2019

SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA 55 YA CHUO CHA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI MWIKA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akimsikiliza mwanafunzi wa mwaka wa pili Shahada ya Utawala na Wanyamapori, Ndg. Boaz Loya aliemuelezea kuhusu tabia za ndege mbalimbali alipokuwa akikagua maonesho yaliyoandaliwa na Chuo hicho leo Mkoani Kilimanjaro. Wa pili kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt.Khamis Kigwangala
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akitoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kwa mwaka 2019 katika Mahafali ya 55 ya Chuo cha usimamizi wa wanyamapori leo Mkoani Kilimanjaro.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa kumi kulia mbele) akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa Chuo cha usimamizi wa wanyamapori mwika katika mahafali ya 55 ya chuo hicho yaliyofanyika leo chuoni hapo Mkoani Kilimanjaro.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipokelewa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Khamis Kigwangala wakati alipowasili kama mgeni rasmi katika mahafali ya 55 ya Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mwika leo Mkoani Kilimanjaro.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na viongozi mbalimbali wa serikali, watumishi wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mwika na wageni waalikwa wakati alipowasili kama mgeni rasmi katika mahafali ya 55 ya Chuo hicho leo Mkoani Kilimanjaro.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akishuhudi ngoma iliyoandaliwa na Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mwika wakati wakimpokea kama mgeni rasmi katika mahafali ya 55 ya Chuo hicho leo Mkoani Kilimanjaro.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili katika Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mwika kama mgeni rasmi katika mahafali ya 55 ya Chuo hicho leo Mkoani Kilimanjaro.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Dkt. Anna Mghwira alipomtembelea leo Ofisini kwake Mkoani Kilimanjaro.

No comments: