Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kushoto) akiongea Mshindi wa dunia wa Ulimbwende wa Mitindo Winifrida Brayson (wa pili kushoto) leo Bungeni jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza (wa tatu kushoto) akisisitiza jambo walipokutana na Mshindi wa dunia wa Ulimbwende wa Mitindo Winifrida Brayson (wa pili kushoto) leo Bungeni jijini Dodoma. Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na Mkurugenzi wa Kituo cha Sanaa na Utamaduni kwa Viziwi (KISUVITA) Habib Mrope (wa kwanza kulia).
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza (kushoto) akisalimiana na Mshindi wa dunia wa Ulimbwende wa Mitindo kwa watu wasiosikia (viziwi) Winifrida Brayson (kulia) leo Bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili mstari wa mbele kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa dunia wa Ulimbwende wa Mitindo kwa watu wasiosikia (viziwi) Winifrida Brayson (wa nne mstari wa mbele) pamoja na wajumbe kutoka taasisi ya Kituo cha Sanaa na Utamaduni kwa Viziwi (KISUVITA) leo Bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na na Mshindi wa dunia wa Ulimbwende wa Mitindo kwa watu wasiosikia (viziwi) Winifrida Brayson (wa tano kulia) baadhi ya wabunge leo jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment