Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipongezwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco. E. Gaguti wakati wa sherehe za uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kigongo-Busisi lenye urefu wa Kilomita 3.2 kwenye sherehe iliyofanyika Kigongo jijini Mwanza leo Desemba 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na Spika wa Jamhuri ya Muungano Mhe Job Ndugai akifunua kitambaa kuashiria uwekaji rasmi wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi lenye urefu wa Kilomita 3.2 kwenye sherehe iliyofanyika eneo la Kigongo jijini Mwanza leo Desemba 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na viongozi mbalimbali akikata utepe kuanzisha rasmi kwa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi lenye urefu wa Kilomita 3.2 kwenye sherehe iliyofanyika Kigongo jijini Mwanza leo Desemba 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiangalia picha kubwa ya mfano wa Daraja la Busisi-Kigongo lenye urefu wa Kilomita 3.2 baada ya kuweka jiwe la msingi na kuzindua rasmi kuanza kwa ujenzi wake kwenye sherehe iliyofanyika Kigongo jijini Mwanza leo Desemba 7, 2019




No comments:
Post a Comment