Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (kulia) akipokea taarifa ya makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu, katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (kushoto) akimsikiliza aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia), pamoja na Watendaji wa Wizara, mara baada ya makabidhiano yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (kushoto) akizungumza na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia), pamoja na Watendaji wa Wizara, mara baada ya makabidhiano yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (wapili kulia-mstari wa mbele), aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu (wapili kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji mbalimbali wa Wizara hiyo, mara baada ya kumaliza makabidhiano yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi




No comments:
Post a Comment