Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Manyara katika mkutano wa Mkuu wa Mkoa huo Mhe.Alexandar Mnyeti uliokuwa na lengo la kuboresha Sekta ya elimu mkoani hapo wakati Waziri alipokua kwenye ziara ya kukagua mitambo ya usikivu ya TBC iliyopo Mkoani hapo eneo la Gitsimii pamoja na kuzungumza na wadau wa tasnia ya habari Januari 23,2020.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Manyara katika mkutano wa Mkuu wa Mkoa huo Mhe.Alexandar Mnyeti uliokuwa na lengo la kuboresha Sekta ya elimu mkoani hapo wakati Waziri alipokua kwenye ziara ya kukagua mitambo ya usikivu ya TBC iliyopo Mkoani hapo eneo la Gitsimii pamoja na kuzungumza na wadau wa tasnia ya habari Januari 23,2020.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Alexandar Mnyeti akizungumza na viongozi wa Mkoa huo katika kikao cha kujadili maendeleo ya elimu na namna ya kuboresha ufaulu wa wanafunzi wa mkoa huo uliofanyika Januari 23,2020.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) akizungumza na wadau wa tasnia ya habari wa Mkoa wa Manyara(hawapo pichani) katika kikao cha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe(kushoto) kilichokua na lengo la kusikiliza na kutatua changamoto wanazokutana nazo katika kutekeleza majukumu yao. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO Bw.Rodney Thadeus.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO Bw.Rodney Thadeus akizungumza na wadau wa tasnia ya habari wa Mkoa wa Manyara(hawapo pichani) katika kikao cha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) kilichokua na lengo la kusikiliza na kutatua changamoto wanazokutana nazo katika kutekeleza majukumu yao.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Alexandar Mnyeti alopokua akiwasilisha taarifa ya mkoa kuhusu usikivu wa TBC katika ziara yake ya kukagua mitambo ya usikivu iliyopo Gitsmii pamoja na kuzungumza na wadau wa tasnia ya habari mkoani hapo Januari 23,2020.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na wadau wa tasnia ya habari wa Mkoa wa Manyara katika kikao cha kusikiliza na kutatua changamoto wanazokutana nazo katika kutekeleza majukumu yao kilichofanyika Januari 23,2020.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bw.Halfan Matipula kwenye ziara ya kukagua mitambo ya usikivu ya TBC iliyopo Mkoani hapo eneo la Gitsimii pamoja na kuzungumza na wadau wa tasnia ya habari ambapo alimuagiza kushirikiana na TANROAD mkoa kutengeneza barabara inayofika katika eneo hilo siku ya Januari 23,2020.











No comments:
Post a Comment