ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 24, 2020

IBADA YA MISA YA SHUKURANI YA HILDA LYATUU ROCKVILLE, MARYLAND

Picha ya marehemu Hilda Lyatuu dada ya Julius Manase ikiwa ndani ya kanisa kwenye ibada ya misa ya shukrani iliyofanyika siku ya Jumapili Feb 23, 2020 katika kanisa la Kiswahili la Lutheran Rockville, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wa familia. Picha na Fortunatus Mwakipesile
Mwinjilisti Ailen (kushoto) pamoja na mchungaji Mbatta wakiongoza ibada ya misa ya shukurani ya marehemu Hilda Lyatuu iliyofanyika siku ya Jumapili Feb 23, 2020 katika kanisa la Kiswahili la Lutheran Rockville, Maryland.
 Bi. Janice Manase (mke wa Julius Manase) akisoma wasifu wa marehemu.
 Julius Manase akiwa na watoto wao wakifuatilia ibada.

Familia ikifanyiwa maombi  na mchungaji Mbatta akisadiana na mwinjilisti Ailen.

Familia ikifanyiwa maombi  na mchungaji Mbatta akisadia na namwinjilisti Ailen.

Julius Manase akitoa shukurani kutoka kwa familia na kuwaasa wanaDMV wapendane na kushikamana wakati wa shida.
Juu na chini ndugu, jamaa na marafiki wakifuatilia ibada ya misa ya shukurani ya marehemu Hilda Lyatuu iliyofanyika siku ya Jumapili Feb 23, 2020 katika kanisa la Kiswahili la Lutheran, Rockville, Maryland.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


Picha Juu na chini wanaDMV na marafiki zao wakitoa mkono wa pole.
Picha juu na chini ni wakati wa chakula

No comments: