Advertisements

Friday, February 14, 2020

KAMISHNA WA JESHI LA POLISI, CP SABAS AMEPOKEA MSAADA WA PIKIPIKI 10 KUTOKA KAMPUNI YA KINGLION ZITAKAZOTUMIKA KATIKA SHUGHULI MBALIMBALI ZA POLISI

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, akisalimiana na mwakilishi wa Kampuni ya utengenezaji wa pikipiki aina ya Kinglion baada ya kuwasili Makao Makuu ya Polisi Jijini Dar Es Salaam walizozitoa kwaajili yakusaidia shughuli mbalimbali za Jeshi la Polisi ikiwemo Doria.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, akiwa amepanda pikipiki moja kati ya 10 zilizotolewa na Kampuni ya Kinglion ndani ya Jeshi la Polisi kwaajili ya shughuli mbalimbali za Jeshi
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, wa saba kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na wawakilishi kutoka kampuni ya Kinglion baada ya kukamilika zoezi zima la makabidhiano ya kupokea pikipiki 10 aina ya Kinglion zitakazotumia Mkoani Dodoma kwaajili ya shughuli za Jeshi la Polisi (Picha na Jeshi la Polisi)

No comments: