Advertisements

Friday, February 21, 2020

WAZIRI SIMBACHAWENE AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto) akisalimiana Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan, wakati alipokuwa anawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume, mjini Unguja, Zanzibar, leo, kwa ajili ya ziara ya kikazi. Kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati) akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan (kulia), na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, baada ya Makamishna hao kumpokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume, mjini Unguja, Zanzibar, leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments: