Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akitoka katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, ambapo alisaini kitabu cha wageni na kuzungumza na maofisa wa vyeo mbalimbali na kuwakumbusha wajibu wao katika utendaji kazi, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati), akizungumza na Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, Paul Kasabago, wakati akipokelewa na mwenyeji wake kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani humo leo 02/03/2020.



No comments:
Post a Comment