ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 7, 2021

MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA NJIA YA MTANDAO NA MTENDAJI MKUU WA MFUKO WA KIMATAIFA WA GLOBAL FIND

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya mtandao na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kimataifa wa kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria- GLOBAL FIND Bw. Pwter Sands leo Agost 06,2021.

No comments: