ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 16, 2022

RAIS WA JAMHURI YA TANZANIA APATA NAFASI YA KUPATA IFTAR NA WANADIASPORA NEW YORK.

Mh. Rais Samia Suluhu Hassan akiongea machache na wanadiaspora wa New York baada ya Iftar,  Iftar iliyoandaliwa na Tanzania House New York  siku ya tar 16 April.
Wanadiaspora wakisikiliza hotuba fupi kutoka kwa Mh. Rais baada ya Iftar, kati ya maneno yaliyokuwa kivutoa aliyoongea Mh. Rais Samia ni Salamu yake ya nawasalimu kwa  jina la jamhuri  kazi iendendelee, na neno la kuwa anaupiga mwingi.
Hapa ni Dr. Veronica akiongea  mbele ya Mh. Rais Samia, Dr Vero alipata nafasi hii ya kuongea  kama mwakilishi wa wanadiaspora New York.

No comments: