RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu kinachoelezea masuala ya Nchi ya India na Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
ANGALIA LIVE NEWS
Tuesday, April 19, 2022
RAIS MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA IKULU ZANZIBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment