ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 15, 2022

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI KAMALA HARRIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati wakizungumza na Wanahabari katika Ikulu ya Marekani White House Washington leo tarehe 15 Aprili, 2022.
 Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Serikali ya Marekani ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris katika Ikulu ya White House Washington leo tarehe 15 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris mara baada ya kuwasili Ofisini kwake katika Ikulu ya Marekani White House Washington leo tarehe 15 Aprili, 2022.
 Rais Samia akizungumza jambo na Mwenyeji wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati akiangalia mandhari ya Majengo ya Ofisi za Ikulu ya Marekani mara baada ya kuzungumza na Wanahabari Ikulu ya White House Washington leo tarehe 15 Aprili, 2022. Picha na Ikulu

No comments: