ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 25, 2022

SPIKA DKT. TULIA ACKSON ÀONGOZA KIKAO BAINA YA KAMATI YA UONGOZI NA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha pamoja baina ya Tume ya Utumishi wa Bunge na Kamati ya Uongozi kilichokutana kujadili ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Marehemu Irene Ndyamkama, leo tarehe 25 Aprili 2022, Bungeni Jijini Dodoma.


No comments: