Balozi wa Tanzania nchini Austria, Balozi Celestine Joseph Mushy, akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Austria Alexander Van der Bellen, katika Ikulu ya Nchi hiyo, jana, Mei 5, 2022. Balozi Mushy aliteuliwa Januari 2022, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Balozi wa Tanzania nchini katika Nchi hiyo ya Austria.
No comments:
Post a Comment