ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 13, 2022

SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU POSTAMASTA MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Postamasta Mkuu, Ndg. Macrice Mbodo alipomtembelea leo Mei 13, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Kaimu Postamasta Mkuu, Ndg. Macrice Mbodo (katikati) alipomtembelea leo Mei 13, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Meneja wa Posta Mkoa wa Dodoma, Ndg. Ferdinand Kabyemela.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Kaimu Postamasta Mkuu, Ndg. Macrice Mbodo alipomtembelea leo Mei 13, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)












No comments: