ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 18, 2022

IBADA YA MISA YA SAFARI YA MWISHO YA MPENDWA WETU STELLA KOMBE

Picha za Ibada ya misa ya safari ya mwisho ya mpendwa wetu Stella Kombe iliyofanyika siku ya Jumamosi July 15, 2022 Beall Funeral Home na baadae kupumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makabuli ya  Resurrection yaliyopo Clinton, Maryland. Picha na Vijimambo Blog
Padri akiongoza Ibada ya misa ya safari ya mwisho ya mpendwa wetu Stella Kombe iliyofanyika siku ya Jumamosi July 15, 2022 Beall Funeral Home, Bowie,  na baadae kupumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makabuli ya  Resurrection yaliyopo Clinton, Maryland
Mtoto wa marehemu akisoma somo la kwanza katika  Ibada ya misa ya safari ya mwisho ya mpendwa mama yake Stella Kombe iliyofanyika siku ya Jumamosi July 15, 2022 Beall Funeral Home, Bowie,  na baadae kupumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makabuli ya  Resurrection yaliyopo Clinton, Maryland
Kutoka kushoto ni mama mkwe wa marehemu, mtoto na mume wa marehemu Isaya Mwaipopo wakiwa katika Ibada ya misa ya safari ya mwisho ya mpendwa wao Stella Kombe iliyofanyika siku ya Jumamosi July 15, 2022 Beall Funeral Home, Bowie,  na baadae kupumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makabuli ya  Resurrection yaliyopo Clinton, Maryland
Kutoka kushoto ni baba mzazi wa marehemu George Kombe, Bibi na Grace Kombe mke wa George Kombe ambaye ndiye mama mlezi wa marehemu. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Picha juu na chini ni familia ya marehemu wakiongea jambo na wasifu wa marehemu enzi ya uhai wake.






3 comments:

Anonymous said...

Fly high dada Stellah, Mungu akuweke pema. Pole nyingi kwa familia mume na watoto....Mungu awatie nguvu. Amen

Haika Edward Machange said...

Heaven gained an angel. Pole kwa familia....Mungu awatie nguvu.

Anonymous said...

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE