Advertisements

Saturday, March 16, 2024

JK ASHINDA TUZO YA KIONGOZI WA AMANI NA USALAMA MWAKA 2023 YA JARIDA LA UONGOZI WA AFRIKACAPTIONS


Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akikabidhiwa tuzo yake na Waziri wa Mapato wa Jamhuri ya Ethiopia, Mama Aynalem Nigusie) na Mwenyekiti wa Jarida la Uongozi Afrika, Dk. Ken Giami kwenye hafla ya kila mwaka ya Tuzo za Watu Bora wa Mwaka za ALM katika Hoteli ya Ethiopian Skylight jijini Addis Ababa, Ethiopia, usiku huu.
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa Mwenyekiti wa Jarida la Uongozi Afrika, Dk. Ken Giami kwenye hafla ya kila mwaka ya Tuzo za Watu Bora wa Mwaka za ALM katika Hoteli ya Ethiopian Skylight jijini Addis Ababa, Ethiopia, usiku huu.
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na tuzo yake kwenye hafla ya kila mwaka ya Tuzo za Watu Bora wa Mwaka za ALM katika Hoteli ya Ethiopian Skylight jijini Addis Ababa, Ethiopia, usiku huu.
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Waziri wa Mapato wa Jamhuri ya Ethiopia, Mama Aynalem Nigusie) Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Innocent Shiyo kwenye hafla ya kila mwaka ya Tuzo za Watu Bora wa Mwaka za ALM katika Hoteli ya Ethiopian Skylight jijini Addis Ababa, Ethiopia, usiku huu.(PICHA NA OFISI YA RAIS MSTAAFU).

No comments: