Advertisements

Saturday, March 16, 2024

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AJUMUIA NA WANAVYUONI NA MASHEKH KATIKA KISOMO CHA DUA KUMUOMBEA RAIS MSTAAFU WA TANZANIA HAYATI ALHAJJ ALI HASSAN MWINYI MSIKITI NGAMIA WQELEZO A SALA YA IJUMAA JAHH



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni, Viongozi wa Serikali na Wananchi katika Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja 15-3-2024, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni, Viongozi wa Serikali na Wananchi katika Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja 15-3-2024, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Wanavyuoni, Masheikh na Wananchi katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Masikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja 15-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa Viongozi wa Serikali,Dini na Wananchi kwa ushirikiano katika msiba wa Baba yake Mzazi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja 15-3-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni na Wananchi katika kuitikia dua baada ya kumalizika kwa Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A”Unguja , ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni na Wananchi katika kuitikia dua baada ya kumalizika kwa Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A”Unguja, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh Said Othman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha maalum ikimuonesha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi alipofika hospitali kumuangalia Hayati Sheikh Muhammad Nassor Abdallah alipokua amelezwa Hospitali akipata matibabu, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Dua cha kumuombea Rais Mstaafu wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja 15-3-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh.Said Othman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,

No comments: