Wednesday, June 19, 2024

RAIS SAMIA AWASILI PRETORIA KWENYE SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MTEULE WA AFRIKA KUSINI RAMAPHOSA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Dkt. Grace Naledi Pandor pamoja na Thembi Nkadimeng Waziri wa Utawala na Ushirika na Masuala ya Jadi. Rais Samia anatarajia kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa tarehe 19 Juni, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Watanzania waishio Afrika Kusini mara baada ya kuwasili Pretoria tarehe 18 Juni, 2024. Rais Samia anatarajia kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa tarehe 19 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 18 Juni, 2024. Rais Samia anatarajia kuhudhuria hafla ya Uapishowa Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa tarehe 19 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 18 Juni, 2024. Rais Samia anatarajia kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa tarehe 19 Juni, 2024.

No comments: