Monday, July 29, 2024

RAIS DKT. SAMIA AONGOZA MKUTANO WA 15 WA TNBC , IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) akizungumza kabla ya kufungua Mkutano wa 15 wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) akiongoza Kikao cha Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2024.
Baadhi ya Mawaziri pamoja na Makatibu Wakuu waliohudhuria Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2024.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa waliohudhuria Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2024.
Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Wafanyabiashara, Wakuu wa Mashirika Binafsi wakiwa kwenye Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2024.


No comments: