Friday, August 9, 2024

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE IKULU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo , alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 9-8-2024.(Picha na Ikulu)
 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-8-2024.(Picha na Ikulu)

No comments: