Thursday, October 3, 2024

MKURUGENZI MPYA WA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR AKABIDHIWA OFISI


Mkurugenzi Mpya wa Idara ya Habari Maelezo Salum Ramadhan Abdalla Shaabani akikabidhiwa nyaraka za Ofisi na aliekua Kaimu wa Idara hio Asha Juma Abdalla katika hafla ya makabidhiano iliofanyika katika Ofisi za Habari Maelezo Rahaleo Zanzibar.
Mkurugenzi Mpya wa Idara ya Habari Maelezo Salum Ramadhan Abdalla Shaabani akizungumza na kamati ya Uongozi wa Idara hio katika hafla ya makabidhiano iliofanyika katika Ofisi za Habari Maelezo Rahaleo Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

No comments: