Friday, October 11, 2024

RAIS DKT. HUSSEIN MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA TAASISI YA “ INTERNATIONAL NATIONAL TRUST ORGANISATION“ KUTOKA NCHINI UINGEREZA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO maalumu na Meneja Mradi David Simpson wa Taasisi ya “International National Trust Organisation”, baada ya kumaliza kwa mkutano wake na Uongozi wa Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 10-10-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la Mji Mkongwe wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Hifadhi ya Mji Mkongwe Zanzibar (JUHIMKO)Dkt. Maryam Jaffar Ismail, baada ya kumaliza mkutano wake wa Uongozi wa Taasisi ya “International National Trust Organisation” kutoka Nchini Uingereza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 10-10-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya “ International National Trust Organisation“ kutoka Nchini Uingereza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 10-10-2024, na (kulia kwa Rais) Meneja Mradi WA Taasisi hiyo David Simpson na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe..Mudrik Ramadhan Soraga.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa msafara wa Taasisi ya “International National Trust Organisation” kutoka Nchini Uingereza.Meneja Mradi David Simpson (kulia kwa Rais)mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 10-10-2024,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.(Picha na Ikulu)

No comments: